Mashabiki wa City na United wakipiga picha za pamoja kabla ya mechi
Sir Alex Ferguson akiteta jambo na Roberto Manchini kabla ya mpira kuanza
Ilikuwa ni Man United walionza kwa kuishambulia ngome ya Man City
Rooney akijaribu kumtoka Zaballeta
Diego Maradona alikuwepo akitazama mtanange huu
City wakaanza kumiliki mpira mapema kipindi cha kwanza
Clichy akifanya kazi ya ziada kumzuia Nani asilete madhara
Dakika ya 47+ kipindi cha kwanza kona ya David Silva ikazaa matunda
Vicent Company akishangilia mara baada ya kufunga goli
Manchini akitoa maelekezo ya kufanya mara baada ya kupata goli
kocha wa Man United akirushiana maneno na kocha wa Man City
Company alifurahi na Zaballeta mara baada ya kipenga cha mwisho kupulizwa
United wakiwa hawaamini kilichotokea mara baada ya mpira kumalizika
No comments:
Post a Comment