Kuenea kwa science na technolojia kumemfanya mtoto wa Bariadi, Sayi 'wilshare' Gugah kuleta kitu kitakachoweza kutujumuisha sote pamoja. Maoni yako kama rafiki, ndugu, jamaa au msonaji nampitiaji mzuri wa mitandao ya habari mbalimbali, kijana na jamaa yako anaomba ushauri wa nini cha kufanya ili kuifanya blog hii iwe na wsomaji wengi wa kutosha duniani kote. Nashukuru sana kwa maoni yako. PAMOJA
No comments:
Post a Comment