![]() |
Asubuhi ya siku ya Tukio watu wakiwa katika harakati za maandalizi ya mwisho ya Tanzania College Festival |
![]() |
Moja ya waandaaji wa Tanzania College Festival 2014 Ndugu Brown akiwa katika majukumu ya kukamilisha maandalizi |
![]() |
Joan Kiggundu naye hakuwa nyuma |
![]() |
Diana Shumbusho moja ya Event organizer akikaguwa jambo kabla ya shughuli nzima haijaanza |
![]() |
Maonyesho ya wanafunzi toka Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya [MUST] |
![]() |
MUST walitia sana fora upande wa maonyesho |
![]() |
Maonyesho toka Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya |
![]() |
Mwakilishi toka NSSF akiteta jambo na wageni waalikwa kwenye maonyesho nje ya ukumbi wa tukio |
![]() |
Mwakilishi wa mgeni rasmi [RPC - MBEYA] Ndugu Samora akisikiliza kwa makini jambo toka kwa mwakilishi wa NSSF |
![]() |
Watu hawakuwa nyuma kuangalia maonyesho ya vyuo mbalimbali yaliyofanyika nje ya ukumbi wa NLT - Mzumbe |
![]() |
Moja ya waandaaji wa Tanzania College Festival Ndugu Baraka Dishoni akiteta jambo ndani ya ukumbi |
![]() |
Mwakilishi toka kampuni ya mtandao mpya wa mawasiliano SMART akitoa neno la utangulizi kabla shughuli haijaanza |
![]() |
Meza kuu ilipendeza vya kutosha |
No comments:
Post a Comment