Akitangaza kikosi hicho, Bert van Marwijk amewaacha kwenye kikosi chake wachezaji toka klabu ya Ajax Vurnon Anita na Siem de Jong. Pia Adam Maher na Jeremain Lens hawamo kundini.
Hata hivyo kocha huyo amewajumuisha kwa mara ya kwanza kwenye kikosi chake Lociano Narsingh na Jetro Willems, wachezaji ambao hawajawahi kucheza kwenye kikosi cha the oranje katika maisha yao ya soka.
Uholanzi kwenye michuano hii ya EURO imepangwa Group B sambamba na timu za Ujerumani, Ureno, na Denmark.
MAJINA | KLABU |
Makipa: | |
Tim Krul | Newcastle |
Maarten Stekelenburg | Roma |
Michel Vorm | Swansea |
Mabeki: | |
Khalid Boulahrouz | Stuttgart |
Wilfred Bouma | PSV |
John Heitinga | Everton |
Joris Mathijsen | Malaga |
Gregory van der Wiel | Ajax |
Ron Vlaar | Feyenoord |
Jetro Willems | PSV |
Viungo/midfilders: | |
Ibrahim Afellay | Barcelona |
Mark van Bommel | AC Milan |
Nigel de Jong | Man City |
Stijn Schaars | Sporting |
Wesley Sneijder | Inter |
Kevin Strootman | PSV |
Rafael van der Vaart | Tottenham |
Washambuliaji: | |
Klaas Jan Huntelaar | Schalke |
Luuk de Jong | Twente |
Dirk Kuyt | Liverpool |
Luciano Narsingh | Heerenveen |
Robin van Persie | Arsenal |
Arjen Robben | Bayern |
No comments:
Post a Comment